skip to main |
skip to sidebar
HIZI NDIZO VIDEO 10 ZA BONGO AMBAZO HUWEZI KUANGALIA MBELE YA MTOTO AU MTU MZIMA YEYOTE..!! MAADILI MABOVU MWANZO MWISHO..!!
Unaweza kuwa umewahi
kuziona video kadhaa kati ya hizi ukiwa na mtoto, mzazi ama mtu
unayemheshimu na ukatamani ushike remote ubadilishe channel. Hizi ni
video zinazoonekana kwenda tofauti na maadili ya kawaida ya Mtanzania na
nyingi zinaamsha hisia za mapenzi.
Video hizi 10 ni miongoni
mwa video za muziki za Tanzania ambazo hushauriwi kuziangalia mbele ya
watoto. Na zingine tayari zimepigwa marufuku kuchezwa ama zimehaririwa
kidogo. Ni video zinazotakiwa kuangalia na watu wenye umri kuanzia miaka
18. Nazo ni:
Climax Bibo – Ujuzi
Snura – Nimevurugwa
Shilole – Paka la Bar
Jux – Uzuri Wako
BAMUYU KIJOGOO & TUNDA MAN
Issa E – Cheche
Shaa – Sugua Gaga
Madee – Sio Mimi (Pombe Yangu)
Baba Levo Ft H.Mbizzo – Nyong’onyeza.(Official Video)
Jokate feat. Lucci – Kaka Dada
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
No comments:
Post a Comment