Katika pita pita mtandaoni Swahilitz imekutana na picha hizi za JB a.k.a Bonge la bwana akiwa ameziweka katika akaunti yake ya Instagram na kuonyesha ni jinsi gani anajivunia
kuoa na kuwa na mke mzuri kama huyu. Tazama picha hapo chini uone ni
jinsi gani jamaa anajiamini na anampenda mke wake na haoni shida
kumuweka mtandaoni ili mashabiki zake wamfahamu shemeji na wifi yao.
RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC ORGAN KWA NJIA YA MTANDAO
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya
Maend...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment