Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid
(kushoto) na Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa,kabla ya kuanza
kwa kikao cha Bunge mjini Dodoma Desemba 5, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kabla ya kipinda cha maswali
kjwa Waziri Mkuu, Bungeni mjini Dodoma Desemba 5, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Desemba 5, 2013.
Mbunge wa
Viti Maalum, Martha Mlata (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Nkenge,
Asumta Mshama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Desemba 5, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo, Dr. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Desemba 5, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu
(kushoto) na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid, kwenye jengo a Utawala la
Bunge Mjini Dodoma December 5, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Iddi ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma, Desemba 5,
2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


No comments:
Post a Comment