Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry
Thanduyise Chiliza kwenye ofisi ya Ubalozi wa Afrika ya kusini Masaki
jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, wakati alipofika kwa ajili ya
kutia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa
Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) kilichotokea jana usiku
nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kwenye Ofisi ya Ubalozi wa Afrika
ya Kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, kufuatia kifo
cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95)
aliyefariki Dunia jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Viongozi na Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini
Tanzania Henry Thanduyise Chiliza kwenye ofisi ya Ubalozi wa Afrika ya
kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, wakati alipofika
kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Rais wa
Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) kilichotokea jana
usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg.PICHA NA OMR
No comments:
Post a Comment