Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 5, 2013

Makamu wa Rais Dkt Bilal na Miaka 50 ya ushirikiano kati mya Tanzania na Sweden na uzinduzi wa kampeni ya kuzuwia Malaria ZINDUKA


IMG_5749Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye hafla ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sweden iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. IMG_5801Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye  uzinduzi wa Kampeni ya Kuzuia Malaria inayojulikana kama ‘M-Zinduka’ inayoendeshwa kwa pamoja kati ya Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom,  Tanzania House of Talents na Malaria  no more    (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment