Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George
D. Yambesi (kati kati) akifuatilia mada katika Mkutano Maalum wa Baraza
Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma, kulia kwake ni Katibu wa
baraza Bw. Mathias Kabunduguru na kushoto ni Msaidizi wa Katibu Bi.M.
Koka. Bw. Yambesi pia ni mwenyekiti wa baraza hilo.
Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D.
Yambesi (Kati kati) akiongoza Mkutano Maalum wa Baraza Kuu la
Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma
Kaimu Katibu wa Chama cha Walimu Bw.Ezekiel Oluoch akitoa mchango wake mkutano huoKatibu wa TUGHE Bw. Ally Kiwenge akitoa maoni yake katika mkutano
Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu Prof. Sifuni Mchome akijitambulisha kwa wajumbe wa mkutano ika mkutano
Katibu wa Sekretariati ya Ajira bw. Xavier Daudi akitoa mchango wake katika mkutano
Katibu wa Bodi ya Mishahara Bi. Tamika Mwakahesya akitoa mchango wake katika mkutano
Moja kati ya mada zilizowasilishwa katika mkutano kuhusu muundo wa utumishi wa walimu unaotumika hivi sasa

No comments:
Post a Comment