ROMA
MKATOLIKI WA JIJINI TANGA: Akiongea na Mabest zake Wa Mtaani huko Tanga
amesema ana mpango Kuingia Kwenye Uringo wa Kisiasa ili apate nafasi
Nzuri ya Kuikosoa Serikali baada ya Muziki wake Kupuuzwa na Viongozi wa
Taifa hili. "Naplan Kuzamia Kwenye Mambo ya Politics hivi sasa, By the
Way Wiki Ijayo naweza Kuchukua Kadi ya Chadema Rasmi"... Pia amesema
Atahakikisha Wasanii Wenzake wanaoimba Muziki wa HipHop akina Kala
Jeremiah nao Wanaunda timu ya Maangamizi Kuing'oa CCM Madarakani, ila
aliwasihi sana Viongozi wa Chadema Kuwa Karibu nao pale Wanapozushiwa
Shutuma za ajabu ajabu Kisa Wamejiunga na Chadema.
Mpaka
sasa baadhi ya wanamuziki wa Bongo Fleva waliojiunga na ambao
wanampango wa kujiunga na Chama Cha kuwakomboa wanyonge CHADEMA ni
Afande Sele wa Morogoro, Joseph Haule ambaye anajulikana kama Prof J,
Soggy Doggy na Wengineo wengi.
Ufuatao ni mmoja ya wimbo wa Roma Mkatoliki ujulikanao kama 2030.
CCM INA AMINI KWENYE UCHAGUZI WA KIDEMOKRASIA YEYOTE ASHINDE KWA UWEZO WAKE
- MAKALLA
-
-𝑨𝒔𝒊𝒔𝒊𝒕𝒊𝒛𝒂 𝑪𝑪𝑴 𝒏𝒊 𝒊𝒎𝒂𝒓𝒂 𝒏𝒂 𝒊𝒑𝒐 𝒕𝒂𝒚𝒂𝒓𝒊 𝒌𝒘𝒂
𝒖𝒄𝒉𝒂𝒈𝒖𝒛𝒊 𝒘𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒘𝒐𝒘𝒐𝒕𝒆.
Chama Cha Mapinduzi kupitia Katibu...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment