NEWS UPDATES:ABIRIA WOTE WA KWENYE KIVUKO WAMEOKOLEWA BADO MIZIGO NA MAGARI
Kivuko kikubbwa cha Mv Magogoni kimepoteza mwelekeo wake, kwa kawaida
huwa kinatokea kivukoni na kuelekea kigamboni... lakini leo kimepoteza
mwelekeo nakuelekea njia ya Meli kubwa,abiria wote wamekolewa ila bado magari na mizigo.
chanzo- EATV
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment