skip to main |
skip to sidebar
USICHEKE TAZAMA Picha, Wanaume Wamevaa Hivi Ili Kuadhimisha Mwezi Wa Wanawake Duniani
Ili kuonyesha uelewa na jinsi wanavyo thamini mchango wa wanawake kwenye
maisha yao wanaume hawa wamekubali kuvaa viatu vya kike aina ya High
Hill [Skuna] ilikuonyesha wako tayari kupitia
tabu na matatizo wanaopitia wanawake duniani na
wanakubali sana mchango wao kwenye jamii. Wewe upo tayari kupiga picha
na viatu hivi sasa? NA SAMMISSAGO
No comments:
Post a Comment