Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 6, 2013

Simba na Yanga kukutana tena December 21



Mkurugenzi wa mashindano wa TFF Saidi kawemba amesema ‘tumekubaliana kabisa kwamba kila mtu ataleta timu yake ya kwanza na kushindwa kufanya hivyo kuna adhabu zake tumekubaliana, wakati huu tunaamini kila club inafanya jitihada za kusajili na kuleta vifaa vyake vinavyoaminika kuwa vizuri, tunasubiri hiyo December 21 tuone’

No comments:

Post a Comment