Watuhumiwa waliokuwa na mwili wa marehemu Khalid Kitala katika kituo kikuu cha polisi Morogoro. |
Mwili wa marehemu Khalid Kitala (47) muda mfupi kabla ya kuifanyia uchunguzi
Watuhumiwa wakipanda gari la polisi tayari kwenda kituo kikuu cha polisi.
Kete zilitolewa katika gari baada ya kupekuliwa
Hapa kuna kete aina mbili zinaonekana katika hii picha, za juu nyeupe sana ndizo zilitopatikana katika gari baada ya kupekuliwa na hizo za rangi kama njano kwa mbali ndizo zilitotolewa katika tumbo la marehemu baada ya kupasuliwa.

Huyo ni Dk Lyamuya ambaye aliwapiga chenga waandishi wakati wakimtaka
kueleza alichoona wakati wa uchunguzi wa maiti aliyepasuliwa tumbo ili
kuweza kubaini kama ni kweli maiti ilikuwa na kete zinazodaiwa kuwa ni
madawa ya kulevya lakini baadaye aliongea nao
Hati za kusafirisia, hiyo ya njano ni ile iliyokuwa ikitumiwa na marehemu Khalid.
Huyo ndiye anayedaiwa kuwa ndiye ndugu wa marehemu, hizo ni karoti wakati wa zoezi la upekuaji.
Mmoja wa makachero wa jeshi la polisi akipekua hadi katika injini ya gari.
Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Morogoro akiongea na
waandishi mara baada ya kumalizika kwa kazi ya uchunguzi huku waandishi
wakimtaka kutoa taarifa juu ya tukio hilo ofisini kwake mtaa wa Kitope
No comments:
Post a Comment