Zifuatazo hapo chini ni picha za mpenzi wake Paul Walker wa muda mrefu, anaitwa Jasmine Pilchard-Gosnell, picha hizi ni za kwanza za mwanadada huyu baada ya kifo cha ghafla cha mpenzi wake Paul walker ambaye amecheza muendelezo wa filamu ya Fast and Furious 1 mpaka 6, sehemu ya 7 ya filamu hii ipo katika uandaaji na hapo awali ililipotiwa itaachiwa July 2014 lakini kutokana na kifo cha Paul Walker filamu hiyo itachelewa kutoka.
SERIKALI YAOMBWA KUTAZAMA UPYA GHARAMA ZA USAJILI NA KODI KWA ONLINE MEDIA
-
Serikali imeombwa kupunguza gharama za usajili wa vyombo vya habari
mtandaoni (Online Media) ili kutoa fursa kwa vijana wengi zaidi kujiajiri.
Ombi hilo l...
1 hour ago











No comments:
Post a Comment