skip to main |
skip to sidebar
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::MWILI WA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM "MWANZA"WAPOKELEWA MOCHWARI
Mwili wa marehemu Mabina aliyeuawa na wanainchi baada ya kutokea kutoelewana kutokana na mgogoro wa kiwanja umepokelewa mochwari na kuhifadhiwa.
CHANZO CHA KIFO CHAKE
Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina anadaiwa aliwanyang'anya ardhi wananchi hao
na kesi iko mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama
alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wanachi wakaenda
kumhoji iweje anapanda miti na kuweka msingi kwenye viwanja hivyo
ilhali kesi ipo mahakamani?
Mabina inadaiwa akaanza kutoa lugha chafu na kurusha risasi hewani.
Kwa mujibu wa Katibu wa CCM ndg Joyce Masunga (maarufu kama Maziwa
Fresh) ni kweli kuwa tukio hili limetokea na tunaendelea kufuatilia
kupata habari zaidi.
No comments:
Post a Comment