Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 27, 2013

UJUMBE KUTOKA KWA MKURUGENZI WA EAGLE ENTERTAINMENT MADAME YUSTER NYAKACHARA KWENDA KWA WAIGIZAJI WA KIKE TANZANIA.



Yuster Nyakachara mkurugenzi wa Eagle Entertainment ametoa ujumbe kwa wasaniii wa filamu Tanzania hasa wale wa kike akiwataka wajitume sana kama yeye kwa kuwa hakuna mafanikio yanayokuja kwa haraka bila kuhangaika na kushirikiana na watu.Amewaomba wawe makini sana na watu wadanganyifu ambao wapo ndani ya sanaa ya filamu.Yuster amewaasa wakina dada kutumia ukubwa wa majina yao kwa faida ya kupata pesa kwa kuwekeza kwenye vitega uchumi kwa kuwa dunia ya sasa inatakiwa kujituma sana na kuwekeza kile kidog unachopata ile uweze kuingiza faida kubwa.Ametoa mfano wa yeye alipopata nafasi ya kwenda ulaya na kuzunguka nchi zaidi ya kumi amejifunza mengi sana na alikuwa akiweka akiba kwa kile kidogo alichokuwa akipata hatimaye kupelekea kufika hapa alipo sasa,na kuweza kumiliki kampuni yake ya utengenezaji filamu.



No comments:

Post a Comment