Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 6, 2013

UJUMBE WA WATAALAM KUTOKA JIMBO LA NANJING CHINA WAKUTANA NA RAIS


A1991Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe wa Wataalam kutoka  Idara ya Afya ya Jimbo la Nanjing,nchini China,waliofika Ikulu Mjini Zanzibar,wakiongozwa na Kiongozi wao Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Afya Wang Hua,(wa pili kulia).[Picha na REamadhan Othman Ikulu.]A2015Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa katika picha na Ujumbe wa Wataalam kutoka  Idara ya Afya ya Jimbo la Nanjing,nchini China,waliofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo asubuhi.[Picha na REamadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment