KWA
MARA YA KWANZA TANZANIA TAREHE 25 MWEZI WA 12, ITAFUNGULIWA NITE CLUB
ITAKAYOKUA INACHEZA MUZIKI WA GOSPEL TU NA SI AINA NYINGINE YA MUZIKI,
CLUB AMBAYO ITAKUA NA RESTRICTION KUANZIA KWENYE MUONEKANO WA WATEJA WA
KIUME NA WA K***, MAOMBI PIA YATAKUA YANAFANYIKA KTK YA SHOWS, NA VITU
KAMA HIVYO, IKO MAENEO YA MBEZI TANGI BOVU, INAITWA ELA GOSPEL CLUB .CHANZO CLOUDS FM255 IMEPIGA STORY NA MENEJA WA CLUB HIYO WALTER ODEMBA, HUYU ANAFUNGUKA
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

No comments:
Post a Comment