WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 04/12/2013.
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa na Tabora]:
[Mikoa ya Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
|
|
.
Hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi
ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Mara, Dodoma na
Singida]:
|
|
Hali
ya mawingu, ngurumo katika maeneo
machache na vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya Iringa, na Mbeya ]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro na Tanga]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi , mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
27C
|
15°C
|
12:17
|
12:31
|
D'SALAAM
|
32°C
|
23°C
|
11:59
|
12:27
|
DODOMA
|
30°C
|
20°C
|
12:15
|
12:36
|
KIGOMA
|
28°C
|
21°C
|
12:40
|
01:02
|
MBEYA
|
26°C
|
14°C
|
12:19
|
12:53
|
MWANZA
|
27°C
|
17°C
|
12:32
|
12:44
|
TABORA
|
31°C
|
22°C
|
12:28
|
12:50
|
TANGA |
32°C
|
26°C
|
12:03
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
24°C
|
11:59
|
12:27
|
Unatarajiwa kuvumaKutoka Kusini -Mashariki kwa
kasi ya km 20 kwa saa kwa
Pwani ya Kaskazini na Kutoka Mashariki
kwa kasi ya km 10 kwa saa Kwa pwani
ya Kusini
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
06/12/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 04/12/2013.
No comments:
Post a Comment