Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na watoto baada ya ibada
ya Krismasi iliyofanyika kijijini kwa Waziri Mkuu, Kibaoni wilayani
Mlele, Katavi Desemba 25,2013. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee baada ya ibada ya Krismasi
iliyofanyika kijijini kwake, Kibaoni wilayani Mlele, Katavi, Desemba
25, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TBT yakutana na wadau wa chai kujadiliana uendelezaji wa zao
-
Na Chalila Kibuda,Michuzi TV
Bodi ya Chai Tanzania (TBT) imekutana na wa wadau wa Chai katika
kujadiliana na kuweka mikakati ya uendelezaji wa zao hilo.
...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment