Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 20, 2013

ZITTO KABWE ATOA KAULI NZITO KWA SERIKALI BAADA YA RIPOTI YA OPARESHENI TOKOMEZA ISOME HAPA KAULI HIYO



Mbunge wa kigoma Zitto Kabwe ametaka Serikali na mamlaka zake kuwajibika kutokana na maafa na unyanyasaji uliojitokeza baada ya opereshi Tokomeza,Dj sek blog ilifanikiwa kupata alichoandika Mbunge huyo kwenye ukurasa wake wa facebook,soma hapo chini
"Human rights abuses including killings, torture and rape done through 'operesheni tokomeza' must be condemned and government must take full responsibility. I don't see the Prime Minister surviving."

TLANSLATION:
"Ripoti ya Kamati ya Bunge ya operesheni tokomeza imeonyesha udhalilishaji mkubwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadamu ikiwemo wananchi kuteswa na kuuwawa. Pamoja na marekebisho yaliyopendekezwa ni lazima Serikali nzima iwajibike."

No comments:

Post a Comment