Ajali
ya kutisha yatokea maeneo ya KIA jirani na kampuni ya kusaga kokoto ya
konoike au njia panda ya kwenda uwanja wa ndege wa Kilimanjaro
International Airport watu zaidi ya 67 wote wamejeruhiwa vibaya japo
hakuna aliye fia hapo ila hali zao ni mbaya hasa madereva na makondakta
wote.
Ni baada ya lori Semitrela kugonga gari la kampuni ya LM Fusso
No comments:
Post a Comment