Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 3, 2014

ANGALIA PICHA HOFU YA KUONEKANA KITU KINACHODHANIWANI KUWA NI BOMU ILIVYOWASHTUA WAKAZI WA JIJI LA DAR




 Vikosi Maalum Vya Ulinzi na Usalama Wakiangalia kwa makini na kuondoa kitu kilichodhaniwa kuwa ni bomu kwenye kituo cha mabasi Shekilango jijini Dar es Salaam,  kwenye makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango Leo Mchana.Hata hivyo vyombo vya ulinzi na usalama vilifanikiwa kuondoa kitu hicho bila madhara yoyote kwa wananchi.Picha na Jiachie Blog.

No comments:

Post a Comment