Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 17, 2014

BREAKING NEWS: REPOTI YA CAG YAMWAJIBISHA MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA, ANATORY AMANI YATAKA AJIUZULU.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick S.L. Utouh. akisoma ripoti ya CAG kwenye halmashauri ya mansipaa ya Bukoba leo.
 
 Naibu waziri wa TAMISEMI, Mh. Aggrey Mwanri akizungumza wakati wa ripoti ya CAG kwenye manispaa ya mji wa bukoba leo 
 Wa kwanza kulia ni Meya wa  Manispaa ya Bukoba, Bwana Anatory Amani aliyewajibishwa kwenye ripoti ya CAG na pia inamtaka ajiuzuru
Kikao kikiendelea
PICHA NA BUKOBAWADAU BLOG

No comments:

Post a Comment