Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 9, 2014

GOOGLE WAONYESHA JINSI WEMA NA DIAMOND WANAVYO ONGOZA KUTAFUTWA KATIKA GOOGLE KWA TANZANIA




trends
Google trends imetoa list ya majina/maneno ambayo yametafutwa sana kwenye mtandao wa google search kwa mwaka 2013.

Dunia nzima ime-search sana jina la Nelson Mandela likifuatiwa na Paul Walker.
Upande wa Tanzania majina ya watu maarufu yaliyotafutwa sana kwa upande wa picha(image search) ni Wema,Diamond na Wema Sepetu.
Kwa ujumla unaweza kusema jina lililotafutwa sana kwa upande wa image search kwenye google kwa mwaka 2013 ni Wema Sepetu.



TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

google
Upande wa Youtube search jina la mtu maarufu lililotokea ni la Diamond Platinumz.
Ukikumbuka kwa makini kitu kilichomfanya atafutwe sana kwenye mtandao wa Youtube itakuwa ni video ya My Number 1.
youtube


Watu waliotafutwa sana duniani kwenye Google kwa mwaka 2013
1
Matukio yaliyotafutwa sana kwa mwaka 2013 dunia nzima
2

Electronic device zilizotafutwa sana kwenye google kwa mwaka 2013
3
Wanamichezo waliotafutwa sana kwa mwaka 2013
4 5
Movie zilizotafutwa sana kwa mwaka 2013
6

No comments:

Post a Comment