Hatimaye
Rais Barcelona Sandro Rosell ametangaza kujiuzulu kuelekea mkutano wa
EGM( Extraordinary General Meeting) ambao unatarajiwa kufanyika usiku
huu.
Rosell na
Barca kwa pamoja wako katika uchunguzi wa mahakama kuu ya Hispania
kutokana na tuhuma matumizi mabaya ya fedha za uhamisho wa Neymar kutoka
Santos kiangazi iliyopita.
Makamu wa Rais Josep Maria Bartomeu na Javier Faus walikutana na Rosell nyumbani asubuhi ya leo na anatarajiwa kuungana na Rais wa Barca katika 'extraordinary meeting' baadaye hii leo sambamba na naibu Rais Joanjo Castillo, mkurugenzi mkuu wa klabu Antoni Rossich na mkurugrnzi wa mawasiliano Albert Montagut.

No comments:
Post a Comment