Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 21, 2014

HAYA NDIYO MAJIBU YA MWIGULU NCHEMBA KWENDA KWA WANAOPONDA UTEUZI WAKE,AWEKA WAZI ELIMU YAKE PIA SOMA HAPA

MWIGULU NCHEMBA AWAJIBU WANAOMPONDA

Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwigulu Nchemba, ambaye jana alikuwa miongozi mwa manaibu waziri walioapishwa na Rais Jakaya Kikwete kushika nyadhifa zao amewaambia watu wanaoponda uteuzi wake kuwa hana haja ya kubishana nao kwani hawamjui.

Katika maelezo yake, Mwigulu alisema anamshukuru Mheshimiwa Rais kwa kumwamini kuwa anaweza kumsaidia katika kusimamaia sera na mipango ya fedha nchini. Watu wasionifahamu wanadai mimi sina viwango vya kufanya kazi hii; naomba wafahamu kuwa mimi ni msomi mwenye shahada ya ya pili ya uchumi na hivi sasa niko katika masomo ya kupata shahada ya uzamivu.

Mwigulu aliendelea kusema “Kabla sijaingia kwenye siasa nilikuwa nafanya kazi katika Benki Kuu ya Tanzania kama mchumi. Ninakwenda Wizara ya Fedha kusimamia mambo manne ambayo ni uadilifu, ushirikiano, jitihada na huduma madhubuti ambazo zitatolewa kwa wakati mwafaka.”

TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
Mwigulu aliendelea kusema “Kabla sijaingia kwenye siasa nilikuwa nafanya kazi katika Benki Kuu ya Tanzania kama mchumi. Ninakwenda Wizara ya Fedha kusimamia mambo manne ambayo ni uadilifu, ushirikiano, jitihada na huduma madhubuti ambazo zitatolewa kwa wakati mwafaka.”

1 comment:

  1. Mheshimiwa Mwigulu,mimi nalia na sera mbovu ya shilika kubwa kabisa ambalo tungepata uchumi mzuri sana la Tanesko,naomba ufikishe salam hizi shirika hili lizao mashirika mengine mawili ili yawe matatu kwa ufanisi na uchumi mzuri.A.Shirka la kutafuta umeme popote Tanzania,B.Shilika la miundo mbinu ya umeme kwenda sehemu zote Tanzania,C.Shirika la uuzaji huo umeme uliopo Tanzania kwa yeyote yule atakae utaka.Hii ni pamoja na shirika la Reli, Bandari na Ndege.Ni aibu kubwa nchi kama hii yenye Bandari,Reli,Uwanja wa ndege na rasilimali kibao kulia umasikini no ni akili zetu zimekoma kufikiri na ndo umasikini wetu ulipo.
    Tanzania ni tajiri ya kufa m tu.

    ReplyDelete