Sakata lenye kumhusisha mwanasiasa kijana maarufu nchini Zitto Kabwe
dhidi ya chama chake cha CHADEMA, ndio habari ya mjini hivi sasa. Mengi
yanasemwa, na ni wazi mengi pia yataendelea kusemwa, bila kujali matokeo
ya kesi aliyoshinda mahakamani leo, maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA na
mengine yoyote yale. Lakini wakati tukijadili haya kwa marefu na
mapana, bilashaka tukihusisha zaidi hisia zetu, je tunafahamu katiba ya
CHADEMA inasemaje kuhusu sakata hili?
Isome hapa katika ya CHADEMA, kisha ujue ni upande upi uko sahihi na upi hauko sahihi.chanzo jukwaahuru
No comments:
Post a Comment