Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 2, 2014

Hivi ndivyo Madee alivyomzawadia Gari meneja wake "Babu Tale"JIONEE PICHA


IMG-20140102-WA0009
Meneja kutoka Kundi la Tip Top Conection lenye maskani yake pale Manzese Tip Top Babu Tale usiku wa kuamkia tarehe 1 alikua akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa,katika vitu ambavyo havikutegemewa kuwepo ni zawadi ya Madee anbayo iliwashangaza watu wengi.
IMG-20140102-WA0005
Star wa huyu wa singo mpya ya tema mate tuwachape  aliamua kumzawadia gari mpya Meneja wake wa muda mrefu gari aina ya BB NEW MODEL,kwenye sherehe hizo pia zilihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Amini,Ditto,Keisha,meneja wa kundi la Tmk Wanaume Family Said Fela na watu wengine wengi.
Hizi ni picha mbalimbali kwenye birthday hiyo.


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

IMG-20140102-WA0017
IMG-20140102-WA0016
IMG-20140102-WA0013
IMG-20140102-WA0011
IMG-20140102-WA0006
IMG-20140102-WA0003
IMG-20140102-WA0008
IMG-20140102-WA0000
IMG-20140102-WA0002

No comments:

Post a Comment