Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, January 4, 2014

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC imeanza vyema mashindano hayo baada ya kuichapa Spice Stars kwa mabao 2-0

Mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche (katikati) akijaribu kuwatoka wachezaji wa Spice Stars, Suleiman Ally (kushoto) na Sued Mussa (kulia) wakati wa mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Picha na Michael Matemanga. 

No comments:

Post a Comment