Mtoto
huyu anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 2. hadi 2.5 kasoro
ameokotwa eneo kati ya Jengo la Wazazi ndani ya Hospitali ya Taifa
Muhimbili.
Tafadhali
yeyote anayefahamu wazazi wake, au ndugu zake atufahamishe mara moja.
Mtoto huyu kwa sasa tunaye na ili uweze kumchukua uje na vielelezo
vifuatavyo;
1. RB ya Polisi
2. Cheti cha Kuzaliwa cha mtoto
3. Picha ya mtoto mwenyewe
4. Kadi ya Kliniki ya Mtoto
5. Barua kutoka Serikali ya Mtaa ikikutambulisha
6. Kitambulisho cha Mpiga Kura
7. Kitambulisho cha Taifa kama tayari umepata
Wasiliana nami kupitia 0755 648636. Mtoto hawezi kuongea vizuri hivyo tumeshindwa kufahamu vizuri jina lake anavyolitamka.
No comments:
Post a Comment