Akizungumza na wanachi wa Manispaa ya Dodoma katika mkutano wao wa mwisho uliofanyika hapo jana katika viwanja vya
barafu Mwanasheria mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Mh Tundu lisu amewataka wananchi kufahamu umuhimu wa katiba
mpya ili kuepukana na migogoro.
Aidha Tundu Lisu amewaomba wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la wapiga kura katika
kipindi hiki cha uchaguzi wa Madiwani na uraisi ili kupata haki ya kumchagua kiongozi wanae mtaka.
Nae Mwenyekiti wa baraza la vijana Chadema Taifa BAVICHA Mh John Heche ameongezea kuwa hawata
wavumulia viongozi wanaovuruga chama bali watawachukulia hatua mara moja na kuwandoa ndani ya chama hicho .
Wakizungumza katika mkutano huo baazi ya wakazi wa manispaa
Dodoma wamesema wameupokea kwa furaha mkutano huo kwani wanahitaji
mabadiliko katika taifa la Tanzania.NA DODOMA FM
No comments:
Post a Comment