Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris Akiwa ameongozana na viongozi wa CCM mkoa wa morogoro wakati wa maandamano ya ufunguzi wa Kampeni za udiwani kata ya ludewa Wilaya ya kilosa
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris Pamoja na Mgombea wa
Udiwani kata ya ludewa Ndugu Subiri Mwamalili Kulia wakati wakizindua
shina la Umoja wa vijana wa Bodaboda kata ya ludewa kabla ya uzinduzi wa
kampeni za udiwani katika kata hiyo
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris akihutubia
wakazi wa kata ya Ludewa wilaya ya Kilosa kwenye viwanja vya CCM Kata
ya Ludewa na kuwataka wananchi wa kata hiyo kufanya maamuzi sahihi kwa
wakati huu kwa kumchagua Ndugu Subiri Mwamalili Kutoka CCM kwani ndio
chama pekee Kinachowajali wananchi.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris Akimnadi Mgombea wa Udiwani Kupitia CCM Ndugu Subiri Mwamalili .
Mgombea
wa Kiticha Udiwani kata ya Ya Ludewa Wilaya ya Kilosa kwa tiketi ya
CCM Subiri Mwamalili akihutubia wakazi wa kata ya Ludewa wakati wa
uzinduzi wa kmapeni za udiwani wa kata hiyo.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris Akimkabidi Mwenyekiti wa
CCM Wilaya ya kilosa jukumu la Kumnadi na kumtembeza kata yote ya
Ludewa Mgombea wa Udiwani kata ya Ludewa Ndfugu Subiri Mwamalili
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kilosa Akimdani Mgombea wa Udiwani Kata ya Ludewa Wilaya Kilosa Ndugu Subiri Mwamalili.
Mgombea wa Udiwani Kata ya Ludewa Wilaya ya Kilosa Ndugu Subiri Mwamalili.
Vigogo wa CCM Wilaya ya Kilosa Wakiwasili kwenywe Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani kata ya LudewaUmati wa wananchi wa Kata ya Ludewa waliojitokeza Katika Uzinduzi Huo
Waliowania kuteuliwa kuwa Wagombea wa Udiwani Kata ya Ludewa Kupitia CCM
No comments:
Post a Comment