Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo wa India anyefanyia kazi Zanzibar
wakati alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na
ujumbe wake (katikati) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shei,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Balozi Mdogo wa India anyefanyia kazi Zanzibar wakati
alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe
wake.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wakati
alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe
wake,pichani akipeana mkono na Brigedia Jenerali Sheikh Sharif Othman
.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi mbali mbali katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar alipokuwa
akiondoka kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe
wake.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis
alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe
wake,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
MAJALIWA: WATENDAJI WA SERIKALI ONDOENI UKIRITIMBA UTOAJI WA HABARI
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wa Serikali
waondoe ukiritimba kwenye suala la upatikanaji wa habari ili kuwawezesha
wanahabari...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment