Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 31, 2014

MHE ASHA ROSE MIGIRO AITEMBELEA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

akipokea RipotiWaziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro akipokea Ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso (Picha zote na Munir Shemweta Ofisa Habari wa Tume)
akipokea mauaWaziri wa Katiba na Sheria Mh. Asha Rose Migiro (kushoto) akipokea maua kutoka kwa Afisa Tawala wa Tume Bi. Suzan Magotiakisalimia watumishiMh. Migiro akisalimiana na Mwandishi Mkuu wa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Caritas Mushi
Asha rose akiongeaWaziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro akizungumza wakati wa kikao chake na uongozi wa TumeBaadhi ya WatumishiKikao cha pamoja baina ya Mhe Waziri wa Katiba na Sheria na Uongozi wa TumeCM akimpokea MigiroMwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanazania Mh. Jaji Aloysius Mujulizi akimpokea WazIri wa Katiba na Sheria Mh. Asha Rose Migiro alipotembelea ofisi za TumeCM akiongeaMwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akizungumza wakati Waziri wa Katiba na Sheria  Mhe Asha Rose alipoitembelea TumeKM akiongeaWashiriki wa KikaoMakamishnasehemu watumishiSehemu ya Watumishi na ugeni wa Mhe. Waziri wa Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha pamojawakiwa kikaoKatibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso akiwasilisha taarifa fupi ya Tume kwa  Waziri wa Katiba na Sheria  Mhe. Asha Rose Migiro

No comments:

Post a Comment