Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 10, 2014

Safari ya mwisho ya mpendwa wetu Flora Ndimbo Glimsdale, Sattle, WASHINGTON


Mchungaji Nteze John Lungu (watatu toka kushoyo) aliyekuwa mchezaji wa timu ya Pamba ya Mwanza na Simba Sports Club ya Dar es Salaam pamoja na Watanzania wa Seattle, ndugu, jamaa na marafiki kwa pamoja wakiwa kwenye makaburi ya Holy Rood kwenye safari ya mwisho ya mpendwa wao Flora Ndimbo Glimsdale aliyefariki tarehe 12/30/2013, huko Seattle Washington State na kuzikwa Jumatatu Jan 6, 2014/
Kushoto ni Mama mzazi wa Marehemu Flora, Mama Ndimbo, katikati ni mdogo wa marehemu, Phidea na wa tatu waliosimama ni Miriam mdogo wa marehemu
Katikati mwenye tai nyeusi ni Credo (Baraka) Ndimbo akiwa na ndugu na jamaa katika msiba wa dada ake huko Washington Marekani

No comments:

Post a Comment