Sherehe
za mapinduzi ya Zanzibar zilivyofana New York , Sherehe hizo
zilipendezeshwa kwa show ya mavazi, chakula na music wa Asili ya mwambao
kutoka kwa Dj Bilal. Balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa New York Mh.
Tuvako N. Manongi ndiyo alikuwa mgeni rasmi wa sherehe hizo. Na alitoa
hotuba fupi juu ya history ya mapinduzi. Na mama Ashura Babu pia kama
ilivyo kwa Mh. Balozi Manongi alipata fulsa ya kuelezea mapinduzi hayo
ya Zanzibar kwa ufupi.
Katibu
wa community ya Watanzania New York bwana Mhella akitoa hotuba fupi ya
kuwatambulisha viongozi na kuwakaribisha ukumbini hapo.
Mh. Balozi Tuvako Manongi akiongea historia fupi ya Mapinduzi ya Zanzibar katika sherehe hio
Aunt
Ashura Dualle nae akitoa hotuba fupi juu ya Mapinduzi ya Zanzibar. Aunt
Ashura anakumbukumbu sahii ya Sherehe hizo kwa sababu alikuwa mke wa
marehemu mwanamapinduzi hayo Abdulhaman Babu.
Mwenyekiti
wa community ya Watanzania New York bwana Hajji Khamis akimtambulisha
kiongozi wa Zanzibar Diaspora kabla ya Mh. Balozi kuongea.
Kiongozi wa Zanzibar Diaspora kutoka, PA akiongea ukumbuni hapo
Naibu katibu wa Community Mariam Abu akiongea
Wageni waalikwa kutoka New York Life Insurance Comapny wakielezea umuhimu wakujiunga na Bima ya maisha.
Bwana Amani Kitali akizungumzia mambo ya maendeleo yanayotakiwa kufanywa na Watanzania wanaoishi na kufanya kazi nchi za nje. |
Chini na juu mshereheshaji wa sherehe hizo Gaston akifanya vitu vyake
Jessica kushoto ndiyo aliefanikisha mavazi haya ya Kinzanzibar, pongezi kwa Jessica kwa kazi mzuri pamoja na dada Asia Mwilima kwa kuweza kutoa ufafanuzi wa mavazi hayo. |
No comments:
Post a Comment