Klabu ya Cardiff City imemtangaza rasmi mshambuliaji wa zamani wa Manchester Utd Ole Gunnar Solskjaer kuwa meneja wao mpya. Solskjaer
ambaye ni raia wa Norway hapo awali alikuwa kocha wa timu ya Molde
aliyoiongoza kutwaa mataji mawili ya ligi kuu ya Norway.
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment