Familia
ya Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Muleba ,Iringa
na Njombe ,ndugu John Pantaleon Mbonde wa Ilala Sharif Shamba Dar es
Salaam anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Anna Mbonde.
Marehemu alifikwa na mauti tarehe 5/1/2014 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
alikokuwa amelazwa. Marehemu
alisumbuliwa
na ugonjwa wa seli mundu (yaani sickle
cell disease) pia alikuwa na matatizo ya figo kwa muda wa mwaka mmoja
uliopita. Mazishi yalifanyika juzi 7/1/2014 kwenye makaburi ya Kinondoni.Familia
inatoa shukrani za dhati kwa wote waliojitokeza katika shughuli nzima ya
mazishi.
SERIKALI YAAHIDI KUTUMIA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI YA JUWATA KUTENGENEZA
BIDHAA MBALIMBALI
-
Serikali imeahidi kuhakikisha washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali
yanayotolewa na Jukwaa Huru la Wahariri Tanzania (JUWATA) wanayafanyia kazi
kwa vitendo...
4 hours ago


No comments:
Post a Comment