Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 3, 2014

TAZAMA picha hii ndio Sehemu atakapozikwa marehemu dk William Mgimwa kijijini Magunga


Katibu wa mbunge Dr Wiliam Mgimwa Bw Martine Simangwa akiwaonyesha viongozi  wa  CCM eneo ambalo waziri Mgimwa atazikwa  katika  kijiji  cha Magunga kata  ya Maboga  jimbo la Kalenga. 
picha kwa hisani ya Fransis Godwin

Makaburi ya familia ya Mgimwa

No comments:

Post a Comment