Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 10, 2014

TAZAMA PICHA JINSI WEZI WALIVYOLIFANYA GARI LA DJ FETTY WA CLOUDS FM





Janga la kwanza 2014, nje ya home saa 12 asubuhi, makaka wezi wanne na gari lao wamekuja, wamevunja kioo na wakaanza kufungua side mirror, bahati mjumbe katoka, akawauliza nyie vipiii, ndo wakatoka nduki wakaingia kwenye gari lao


walililokuwa wamelipaki karibu na gari langu nankuseoa kwa speed 120, hawajafanikiwa kuondoka na chochote...hawakukamatwa ila wangekamaaaaatwa.....hahahahahaa, hivi ndo nimeianza asubuhi ya leo. Shout out kwa mjumbe wangu bila ya yeye duuuh nahisi ningelikuta gofu!!


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)  

No comments:

Post a Comment