skip to main |
skip to sidebar
UNAAMBIWA HAWA NDIYO WANAMUZIKI WA BONGO FLEVA WANAOFANANA NA WASANII WA MAREKANI..!!
Kuna usemi unasema duniani wawili wawili.....Hapa ni picha za wasanii wa
bongo na wa USA inasemekana wasanii hawa wanafanana...JE wewe
unawaonaje waweza kutoa maoni yako pia baada ya kuziangalia picha
hizi....
|
MWANA FA NA FABULOUS |
|
|
|
|
|
|
|
|
50 CENT NA CRAZY GK |
|
QUICK RACKA NA T-PAIN |
|
AMINI NA JOE THOMAS |
No comments:
Post a Comment