WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 25/01/2014.
[Mikoa ya Ruvuma,Kigoma na
Tabora]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
|
|
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo
katika maeneo machache na vipindi
vifupi vya jua.
|
[Mikoa ya Mwanza na
Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma na
Singida]:
[Mikoa ya Kagera na Mara] :
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mkoa wa Morogoro
(Kusini)]:
|
|
Hali
ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Arusha, Manyara
na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Tanga,Dar es
salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa Morogoro
(Kaskazini) ]:
|
|
Hali
ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
31°C
|
12°C
|
12:38
|
12:52
|
D'SALAAM
|
32°C
|
23°C
|
12:21
|
12:47
|
DODOMA
|
28°C
|
19°C
|
12:37
|
12:59
|
KIGOMA
|
29°C
|
20°C
|
01:02
|
01:22
|
MBEYA
|
22°C
|
14°C
|
12:41
|
01:13
|
MWANZA
|
28°C
|
19°C
|
12:53
|
01:05
|
TABORA
|
29°C
|
19°C
|
12:50
|
01:10
|
TANGA |
32°C
|
25°C
|
12:25
|
12:45
|
ZANZIBAR
|
33°C
|
23°C
|
12:21
|
12:47
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa
kwa Pwani
ya Kaskazini na
kutoka Kusini kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu:
27/01/2014: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 25/01/2014.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment