Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa amebeba Kifimbo cha Malkia wa Uingereza mara baada ya kuwasili
katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana, kulia ni Katibu wa
Kamati ya Olympic Tanzania Filbert Bayi.Picha zote na Frank Shija – Wizara ya Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisaini atograph katika bendera za kijana wa Uingereza anayeishi nchini
ambaye jina lake alikuweza kupatikana jana Ikulu jijini Dar es Salaam
katika hafla ya Kupokea Kifimbo cha Malkia. Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akiongoza
mamia ya watanzania kukimbiza Kifimbo cha Malkia jana jijini Dar es
Salaam, Kulia ni Balozi wa Ungereza hapa nchini Dianna Patricia Melrose
na wakwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza na Kaimu Mkurugenzi,Idara ya Maendeleo ya Michezo,Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Juliana Matagi Yasoda Balozi
wa Uingereza hapa nchini (Mwenye Suruali ya Bluu) Diaana Patricia
Melrose akicheza ngoma ambayo utumiwa na Waingereza katika sherehe za
malkia jana jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu wakati wa
hafla ya Kukabithi Kifimbo cha Malkia kwa Rais wa Tanzania Mh. Jakaya
Kikwete hayupo pichani. Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Mgulani wakiwana nyuso za furaha mara baada ya
kupata fursa ya kushika Kifimbo cha Malkia jana jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment