WILAYA YA MBARALI – MAUAJI.
MNAMO
TAREHE 19.01.2014 MAJIRA YA SAA 17:00HRS HUKO KATIKA KIJIJI NA KATA YA
ITAMBOLEO, TARAFA YA ILONGO, WILAYA YA MBARALI NA MKOA WA MBEYA, MTOTO
LUMIKI S/O RAHIM, MIAKA 06, MMASAI, MWANAFUNZI SHULE YA MSINGI KAPUNGA
DARASA LA KWANZA ALIUAWA KWA KUPIGWA NA FIMBO KICHWANI NA MTOTO BEDON
S/O SAID, MIAK
A
12, MUWANJI, MWANAFUNZI SHULE YA MSINGI KAPUNGA DARASA LA SITA. CHANZO
KINACHUNGUZWA. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA HOSPITALI YA MISHENI
CHIMALA KWA UCHUNGUZI WA KITABIBU. MTUHUMIWA AMEKAMATWA. KAMANDA WA
POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z.
MSANGI ANATOA WITO KWA WAZAZI/WALEZI KUDUMISHA MALEZI BORA KWA WATOTO
WAO WANGALI WADOGO ILI WAKUE KATIKA MISINGI NA USTAWI MZURI WA JAMII NA
KUJIEPUSHA NA VITENDO VYA UHALIFU.
[AHMED Z. MSANGI – SACP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYATUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
No comments:
Post a Comment