Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 21, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA MAREHEMU MARTHA PETER LUBUVA, AKUTANA NA BALOZI MTEULE

waziri mkuu 2Maziri Mkuu Mizengo Pinda akiongoza mamia ya waombolezaji kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mke wa Mheshimiwa Jaji Damian Lubuva. Marehemu MARTHA PETER LUBUVA nyumbani kwake mtaa wa Bagamoyo Oyterbay jijini Dar es salaam leo. waziri mkuuWaziri Mkuu Mizengo Pinda akikutana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malysia Dr Azizi Ponary Mlima ofisini kwake Jijini Dar es salaam leo ambapo mefanya mazungumzo naye.
 TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)

No comments:

Post a Comment