Waziri
wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya akiwa pamoja na
Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee wakiingia katika Ukumbi wa
Mkutano huko katika Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanizbar.
Baadhi
ya Viongozi waliohudhuria katika Mkutano wa kuimarisha Umoja na
Mashirikiano baina ya Wizara ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
na Wizara ya Fedha ya Zanzibar. katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena Inn
Shangani Mjini Zanizbar.
Waziri
wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akizungumza na Viongozi wa Wizara
ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar katika mkutano
wa kuimarisha Umoja na mashirikiano ya ukaribu baina ya Wizara ya Fedha
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Fedha ya Zanzibar.
katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanizbar.kuliani
kwake ni Waziri wa Fedha wa Tanzania Saada Mkuya na mwengine ni Naibu
Waziri wa Fedha wa Tanzania Mgulu Nchemba na wakwanza kulia ni Naibu
Waziri wa Fedha wa Tanzania Adam Malima. Waziri
wa Fedha wa Tanzania Saada Mkuya wapili kushoto akifafanua jambo
alipozungumza na Viongozi wa Wizara ya Fedha ya Tanzania na Zanzibar
katika Mkutano wa kuimarisha Umoja na mashirikiano ya ukaribu katika
Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanzibar.
Waziri
wa Fedha wa Tanzania Saada Mkuya katikati akipokea zawadi ya Mlango na
makubadhi vyenye historia ya zanzibar mara baada ya kumalizika kwa
mkutano wa kuimarisha Umoja na mashirikiano ya ukaribu katika Hoteli ya
Serena Inn Shangani Mjini Zanzibar.kushoto yake ni Waziri wa Fedha wa
Zanzibar Omar Yussuf Mzee na kulia yake ni Naibu Waziri wa Fedha wa
Tanzania Mgulu Nchemba . Waziri
wa Fedha wa Tanzania Saada Mkuya wapili kulia na Waziri wa Fedha wa
Zanzibar Omar Yussuf Mzee katikati wakiwa katika picha ya pamoja na
Viongozi wa Wizara ya Fedha ya Tanzania na Zanzibar mara baada ya
kumalizika kwa mkutano wa kuimarisha Umoja na mashirikiano ya ukaribu
katika Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR
ILA NYIE CCM NI NOMA SANA, YAANI UBAYA UBWELA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
NILIKUWA Najiongelesha tu kichwani kuhusu hii CCM basi nikajikuta nacheka
tu,ndio kununa siwezi. CCM kwa jinsi walivyo hawa ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment