Mkurugenzi Mtendaji
wa kampuni ya Winch Energy Tanzania akiwasilisha mada mbele ya
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (aliyekaa upande wa
kulia) kwenye ukumbi ulioko kwenye ofisi za
Wizara ya Nishati na Madini. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kampuni
ya Winch Energy Tanzania kutambulisha majukumu yake ikiwa ni pamoja na
kusambaza umeme wa nishati ya jua.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akisisitiza jambo katika kikao hicho.
No comments:
Post a Comment