Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 16, 2014

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 16/01/2014

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 16/01/2014.
[Mikoa ya Morogoro (Kusini) na Ruvuma]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya, Kigoma, Lindi, Mtwara na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma, Kagera, Mara na Singida]:
[Mkoa wa Morogoro(Kaskazini)]
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mwanza na Shinyanga]:
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C
14°C
12:34
12:46
D'SALAAM
34°C
26°C
12:17
12:43
DODOMA
25°C
21°C
12:32
12:56
KIGOMA
29°C
21°C
12:57
01:19
MBEYA
18°C
16°C
12:36
01:10
MWANZA
28°C
19°C
12:49
01:00
TABORA
25°C
18°C
12:45
01:07
TANGA
34°C
25°C
12:20
12:42
ZANZIBAR
34°C
25°C
12:17
12:43
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saakutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani
ya Kaskazinna kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi hadi Makubwa.
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 18/01/2014Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 16/01/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment