Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 10, 2014

BALOZI WETU MPYA MTEULE WA MALASYIA DR. AZIZ PONERY ALIPOTEMBELEA TUME YA MIPANGO










Balozi wa mpya wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt. Aziz Ponery Mlima leo asubuhi ametembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na kukutana na viongozi wa Ofisi hiyo.Pamoja na mambo mengine waliozungumza, viongozi hao waliongelea diplomasia ya uchumi, maendeleo ya uchumi wa Tanzania na Malaysia kwa ujumla.
Dkt. Mlima aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka jana kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kuala Lumpur, Malaysia, ambayo imekuwa ikiisadia Tanzania katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo, ikiwemo utaratibu mpya wa kusamimia miradi ya maendeleo.

No comments:

Post a Comment