Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari
nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo aliwaeleza kuwa Kikao cha NEC
kilikamilika vizuri ambapo wajumbe waliijadili Rasimu vizuri na CCM
kubaki na msimamo wa Serikali mbili .
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari
nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia CCM bado imebaki na
msimamo wake wa muundo Serikali mbili wenye maboresho.
No comments:
Post a Comment