Mkuu
wa Huduma za Utangazaji na Mawasiliano ya redio kutoka Shirika la
Utangazaji la Kimataifa (ITU), Pham Nhu Hai akiwasilisha mada katika
kongamano hilo.
Mjadala ulifautiliwa kwa umakini na washiriki
Muongozaji
wa mjadala huo, Simon Spanswick (kushoto) ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu
wa ITU akiwa katika mjadala la na Pham Nhu Hai.
Maswali
na maoni mbalimbali yalitolewa kutoka kwa washiriki wa kongamano hilo
la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali.
Mkurugenzo
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John Nkoma nae
alishiriki kikamilifu katika mijadala mbalimbali ukiwepo ule wa namna
gani nchi za Afrika zitaendelea katika kipindi cha miaka 5 - 10 katika
sekta ya utangazaji.
Mhandisi
Mwandamizi wa Utangazaji kutoka TCRA, Andrew Kisaka ambaye aliwasilisha
mada juu ya majitaji ya kiufundi katika matumizi ya DVB-T.
Baadae palikuwa na tafrija kidogo ya 'Mkia wa Tausi' Cocktail na mambo yalienda vyema kwa mazungumzo ya hapa na pale ya wadau.
Mkurugenzi wa Azam TV nae alikuwepo kufuatilia mijada hiyo na hapa akiwa na wadau wenzake.
Ilikuwa ni bata kwenda mbele kwa washiriki
Burudani
kutoka kwa kundi la kimasai lilikuwepo na kumfanya Katibu Mtendaji wa
Shirika la Utangazaji la Jumuia ya Madola (CTO), Tim Unwin kuamua
kuchukua taswira zao
Meneja Mawasiliano wa TCRA, Innocent Mungi alikuwa akipita akifuatisha midundo ya Kimasai
No comments:
Post a Comment